Ads 468x60px

paulkoka3@gmail.com

paulkoka3@gmail.com
none

tafuta/search

Monday, April 16, 2012







Ni marafiki wa muda mrefu  sana na wote kwenye game wanafanya vyema na mzungumzia AY na MWANA FA wote wanafanya mziki wa bongo fleva na wanaprenda kifanya ngoma pamoja lakini kwa sasa kidogo wamekuwa kimya sana yani kila mmoja anafanya kazi peke yake hasa AY ambaye amejikita sana katika  nchi ya kenya na amefanya ngoma nyingi na watu wa kenya lakini MWANA FA  yeye amajikita hasa TANZANIA amaefanya ngoma moja inayo julikana kama YALAITI  aliyo fanya na LINAH

No comments:

BLOG MBALI MBALI

Blog Archive